Gharama ya kumsomesha mwanafunzi mmoja kwa mwaka katika shule ya msingi ni takriban Ths 900,000 (euro 300); wakati katika chuo kikuu gharama yake ni karibu Tsh 3,000,000 (euro 1000). Tunakaribisha michango ya kiasi chochote kutoka kwa watu binafsi na mashirika ya wafadhili. Kwa sasa, michango inaweza kufanywa kupitia Bank Transfer, baadaye tutaongeza njia nyingine kama Credit Card na PayPal.
Coming Soon
Coming Soon
Kusaidia kusomesha yatima maskini na watoto wenye uhitaji jimboni Bukoba ili kuwaandaa kushiriki katika kutatua changamoto za kiuchumi.
Tunakaribisha msaada wa kifedha kutoka kwa watu binafsi na mashirika, kupitia Bank Transfer, Credit Card na PayPal.
Unakaribishwa kujiunga na Marafiki wa BUCADOS ili usaidie kuchangia na kueneza lengo la BUCADOS ili kuwafikia wafadhili wengi zaidi.
Copyright © 2024 Bukoba Catholic Diocese - All Rights Reserved
Designed by Creative Mind